Uongozi wa shule ya sekondari Realhope unapenda kuwatangazia kuwa imeanzisha shule ya Msingi na Awali iitwayo REALHOPE PRE- PRIMARY & PRIMARY SCHOOL.
Shule ipo Mjini Mafinga Karibu na shule ya sekondari REALHOPE.
Shule ni ya kutwa na ni mchanganyiko wavulana na wasichana.
Shule ina mandhari mazuri kwa malezi ya watoto wote.
Kwa mawasiliano zaidi tutafute kwa njia zifuatazo:
Simu No:+255763777275,+255767147677
Barua pepe:realhope77@gmail.com
Wednesday, 17 April 2019
Home
Unlabelled
REALHOPE PRE- PRIMARY & PRIMARY SCHOOL
Nataka nimlete mtoto anatokea kinyanambo B gari zipoo au?
ReplyDeleteMtoto wa pre primary school
ReplyDelete